Simamia router, vouchers na malipo ya simu sehemu moja.
Anza bureMikroTik na TP-Link Omada kupitia RADIUS; kifaa kinahitaji model/firmware inayounga mkono hotspot na external authentication.
Muda, kasi, data na vifaa kwa kila kifurushi. Cash au malipo ya simu.
Platform inapokea malipo na biashara inaomba kutoa mapato baada ya makato yaliyowekwa.